Kimansoanka

Kimansoanka (pia Kikunante au Kisua) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Gambia inayozungumzwa na Wamansoanka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimansoanka nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 15,500. Pia kuna wasemaji 1600 nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimansoanka iko katika kundi la Kiatlantiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search